Wednesday 1 June 2016

NOMINO ZALIKA/UNOMINISHAJI


 Unominishaji kwa mujibu wa Habwe na Karanja (2007) wanasema ni hali ya kuunda nomino kutoka katika kategoria nyingine ya neno. Kategoria hizi zaweza kuwa kitenzi, kivumishi au hata nomino yenyewe. Ø Kwa hiyo vinominishi (o, i) vinaweza kunominisha vitenzi vya Kiswahili katika mazingira yafuatayo: Tukianza na kinominishi (o); kinominishi “o” huweza kunominisha vitenzi vya kibantu vinavyoishia na kiambishi tamati “a”.             Kwa mfano: tenda→ tend-o Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZCopy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment