Tuesday, 28 July 2015

LOWASSA ASEMA

ANASEMA HIVI,
1.STALIPIZA KISASI WALIONITENDEA MABAYA WAKAMWOMBE MSAMAHA MUNGU.2. NIRIMAMRIWA KUSAINI MKATABA WA RICHMOND NA MAMLAKA YA JUU(MNAMJUA)3.CCM SI MAMA WALA BABA YANGU.4. HAWAKUNIPA MUDA WA KUJITETEA KAMA MGOMBEA URAIS CCMHUU NDIO UKOMAVU WAA SIASA AU MWASEMAJE...............................


No comments:

Post a Comment