CHADEMA HAIPO SALAMA.
Jana limefanywa tukio la pili kubwa bila uwepo wa Dr Slaa. Yupo nchini, hana majukumu yoyote ya kitaifa yangekuwapo yangeripotiwa.
Hapa wala haihitaji elimu ya chuo kikuu kuliona hili. Siku ya kutambulishwa cdm hakuwepo , siku ya kuchukua form hakuwepo (??????).
Slaa bado ana imani kuwa yeye ni msafi na mwenye uwezo kuliko Lowassa,
anaamini kuwa yeye ndiye kakijenga na kukipa chama umaarufu kuliko
Lowassa, yeye alitukanwa zaidi na Ccm kuliko Lowassa kwa ajili ya
Chadema.
Amegundua kuwa walikuwa hawamwamini kuwa angeshinda. Kwa nature ya Kabila la slaa bado hii ngoma ni Mbichi kabisa.
Mazungumzo na Kinana yanaendelea.
Amegundua kuwa walikuwa hawamwamini kuwa angeshinda. Kwa nature ya Kabila la slaa bado hii ngoma ni Mbichi kabisa.
Mazungumzo na Kinana yanaendelea.
No comments:
Post a Comment